• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Divisheni
      • Elimu ya Awali na Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Takwimu
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Huduma za Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka, na Usafi wa Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Mikopo 10%
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
      • Fomu ya Kujiunga na Bima ya Afya
      • Ruhusa
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Wa Chemba Watakiwa Kujua Haki Zao Za Msingi Za Kisheria

Posted on: April 3rd, 2018

Na Shani Amanzi,

Wananchi wa Wilaya ya Chemba washauriwa kuhakikisha wanafahamu haki zao za kisheria ,pale wanapoona zimekiukwa na mtu binafsi,Serikali au Shirika lisilo la Kiserikali na kutambua kuwa hiyo haki inaweza patikana sehemu gani.

Mwanasheria wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Ndg.Jofrey Pima aliyazungumza hayo alipokuwa ofisini kwake tarehe 03/4/2018 na kutaja baadhi ya migogoro ya ardhi iliyopo katika Halmashauri kuwa imegawanyika katika makundi  matatu na kuelezea  njia zipi zinatumika katika kutatua migogoro.

Ndg.Pima amesema migogoro ya Mipaka kati ya Wilaya ya Chemba na Wilaya jirani kama vile mgogoro wa mpaka uliowahi kutokea Wilaya ya Kiteto, Chemba na Bahi,Chemba na Singida mfano hai ni mgogoro wa Mpaka unaolalamikiwa na Wananchi  wa Kijiji cha Handa  Wilaya ya Singida  kuwa Wanachi wa Handa wamevamia hifadhi ya Msitu wa Migori

“Kwa hiyo Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Chemba na ya Wilaya ya Singida walishakutana na kutatua huo mgogoro, changamoto nyingine inayosababisha migogoro ya mipaka, ni maboya (becons) kutoonekani  kwa sababu baadhi ya wananchi wanang’oa maboya hayo na baadhi ya maboya kuwa mbalimbali changamoto ambayo inatakiwa kutatuliwa kwa kupunguza umbali kati ya boya moja na nyingine zinazoonekana kiurahisi ”alisisitiza Ndg.Pima.

Aidha Ndg.Pima amesema migogoro mengine ni mgogoro ya mipaka  baina ya vijiji na vijiji katika wilaya tofauti mfano ni kijiji cha Kidoka na kijiji cha Muungano kata ya Kidoka katika Wilaya ya Chemba wanalalamikia baadhi ya Wanachi wa Viijiji vya Haneti na Kwahenu Wilaya za Chamwino kuingia kwenye maeneo ya Vijiji hivyo vya Chemba. Mgogoro huu ulishaanza kushughulikiwa na  Wataalam kwa kubaini mipaka na Tamko la mipaka itatolewa na Wakuu wa Wilaya za Chemba na Chamwino muda si mrefu.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya  Chemba Dkt.Semistatus Mashimba aliongeza kwa kusema  kuna migogoro ya umiliki wa Ardhi ambayo hutatuliwa na Wataalam wa Halmashauri na mengine inapelekwa kwenye vyombo vya kisheria ambavyo vimepewa mamlaka ya kushughulikia migogoro ya Ardhi ,Mabaraza ya Kata na Baraza la Ardhi la Wilaya ya Kondoa kutegemea thamani ya ardhi yenye mgogoro.

“Migogoro inayoletwa moja kwa moja  Ofisini kwangu  au kwa Mkuu wa Wilaya hushughulikiwa kwa kushirikisha Mwanasheria wa Halmashauri na Wataalam wa Ardhi,  na endapo itaonekana mgogoro huo unatakiwa kuamriwa na Mahakama wahusika huelekezwa kupeleka mgogoro huo kwenye Mahakama yenye Mamlaka ya kusikiliza mgogoro husika.”alisisitiza Dkt.Mashimba.

Hata hivyo  Malengo ya Halmashauri ni kutatua migogoro yote ya Wananchi waliyonayo katika Sekta ya Ardhi na Sekta Nyingine kama vile Kilimo na Mifugo, Mirathi na Ndoa.

Matangazo ya Kawaida

  • CHEMBA DC STRATEGIC PLAN July 01, 2024
  • Matokeo ya Sensa ngazi ya Kata Mwaka 2022 July 01, 2024
  • Chanjo-Halmashauri ya Wilaya ya Chemba June 01, 2024
  • Mapokezi ya fedha za Miradi Chemba DC June 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • ORODHA YA MAJIMBO MAPYA NA YALIYOBADILISHWA MAJINA

    May 12, 2025
  • RATIBA YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI.

    May 08, 2025
  • Mwenyekiti Tume Huru ya Chaguzi (NEC) Aongoza kikao cha Kuthibitisha Mgawanyo Jimbo la Chemba Siku ya Tarehe April 27, 2025.

    April 28, 2025
  • Wasira aelezea faida za Muungano kwa wananchi wa Chemba

    April 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance
  • Mfumo wa Taarifa za Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.