- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
MFUMO WA USAJILI NA UTOAJI WA VIKUNDI VYA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA(CMG) KWA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU (TPLMIS)
Mfumo wa usajili wa vikundi vya huduma ndogo za fedha ( community micro finance group) ni mfumo unaosimamiwa na BOT na kukasimisha mamlaka hayo katika serikali za Mitaa Kwa mujibu wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha, 2018
Kikundi cha Kijamii cha Huduma Ndogo za Fedha ni Kikundi kilichoanzishwa na kusimamiwa na Wanakikundi na kusajiliwa kwa mujibu wa Sheria hii kwa ajili ya kufanya shughuli za Huduma Ndogo za Fedha, ikiwemo kukusanya akiba kutoka kwa Wanakikundi na kutoa mikopo.
Mfumo wa usajili wa vikundi vya kijamii vya huduma ndogo za fedha una faida zifuatazo;-
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.