- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Health
Idara ya Afya ni miongoni mwa Idara 13 zilizopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.
Idara hii ina jumla ya vituo vya kutolea huduma vipatavyo 39 ambapo Hospitali ya Wilaya ni 1, Vituo vya Afya ni 4, na Zahanati 33 (na Zahanati za 4 binafsi).
Vile vile, Idara ya Afya inatoa huduma kwa jamii kama ifuatavyo:-
1. Huduma ya wagonjwa wa nje yaani (OPD),
2. Huduma ya kulaza wagonjwa yaani (Inpatient),
3. Huduma ya upasuaji mdogo,
4. Huduma ya mama na mtoto yaani (RCH),
5. Huduma ya CTC,
6. Huduma ya Kifua Kikuu na Ukoma,
7. Huduma ya wazee, huduma ya wagonjwa wa akili,
BOFYA KUONA VITUO VYA AFYA NA MAHALA VILIPO
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.