• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Divisheni
      • Elimu ya Awali na Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Takwimu
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Huduma za Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka, na Usafi wa Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Mikopo 10%
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
      • Fomu ya Kujiunga na Bima ya Afya
      • Ruhusa
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Serikali yataka ufanisi katika ufuatiliaji wa marejesho ya mikopo ya asilimia 10

Posted on: December 13th, 2022

Na Alphonce Chilimo – Chemba, Dodoma

Serikali imeagiza kufanyika tathmini ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu ili kubaini kiasi kilichorejeshwa na kuwakopesha wahitaji wengine.

Kauli ya Serikali imetolewa na Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange Naibu Waziri (AFYA) Ofisi ya Rais TAMISEMI alipofanya ziara yake ya kikazi katika Halmashauri ya Chamwino tarehe 06.12.2022 ambapo aliongea na watumishi wa Halmashauri na kutoa maelekezo.

“fedha zote za mikopo ya asilimia 10 zilizokopeshwa tangu tumeanza mwaka 2018 katika Halmashauri ya Chamwino zijulikane ilikopesha kiasi gani na kiasi gani kimerejeshwa mpaka sasa na kiasi gani hakijarejeshwa, zifanyiwe tathmini ili kujua fedha zinazokopeshwa na zinazorejeshwa” alisema Dkt. Dugange.

Dkt. Dugange ametaka kuwekwa utaratibu maalum kwa kutumia Mfumo uliopo wa mikopo ya asilimia 10 ili kufuatilia kwa ukaribu vikundi vyote viweze kurejesha mikopo kwa wakati na kuwapa fursa wahitaji wengine lengo likiwa ni kuwakwamua vijana, wanawake na watu wenye ulemavu  kiuchumi katika Halmashauri hiyo.

Serikali ilipitisha sheria kwa Mamlaka za Serikali za mitaa nchini kutenga asilimia 10 ya mapato yao na kuwakopesha vikundi vya akina mama, vijana na watu wenye ulemavu ili kuwakwamua kiuchumi lakini kuifanya mikopo hiyo kuwa endelevu ambapo tayari imekwishatengenezewa Mfumo wa namna ya utoaji, ufuatiliaji na ufuatiliaji.

Matangazo ya Kawaida

  • MAPOKEZI YA FEDHA July 22, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 22, 2025
  • WITO WA USAILI August 01, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAHAMASISHENI WAZAZI/WALEZI WACHANGIE CHAKULA SHULENI

    July 30, 2025
  • MNYIKAH AWATAKA MAAFISA ELIM KATA NA WALIM WAKUU KUSHIRIKIANA

    July 29, 2025
  • DC OKASH AWATAKA WATENDAJI KUHAMASISHA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

    July 29, 2025
  • DED CHEMBA AWAPONGEZA WALIMU KWA MATOKEO MAZURI YA KUDATO CHA SITA 2025

    July 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance
  • Mfumo wa Taarifa za Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.