- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia inawatangazia/ inatangaza nafasi za Masomo 2022/2023 Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi, Focal Development College – FDCs.. Wasichana na Wavulana, Umri Miaka 17 na kuendelea, mwisho January 20,2023
Mchango wa Malipo ni Tshs 250,000 kwa mwaka, gharama nyingine zinalipwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kozi ya UFUNDI atakaochagua ni pamoja na masomo ya Secondary QT kwa watakaopenda …
MUDA wa kozi ni miaka 2 tu na atafanya mitihan ya Veta level 2 .
Kwa maelezo Zaidi wasiliana na Mkuu wa Chuo Husika
NB.. Tangazo Hili Ni BURE….Ukipata nafasi hakikisha unapewa namba ya serikali (control number) kufanya Sehemu ya Malipo yako kwa usajili. Nawatakieni Baraka tele katika kuhakikisha hakuna kijana anayesalia mitaani katika makundi hatarishi.
1. Chilala FDC -LINDI..0625973780 Umeme Uashi Useremala Ushonaji Ufundi Magari
2. Masasi FDC – Mtwara..0655961070 Umeme Uashi Upishi Ushonaji Uchomeaji Ualimu Chekechea Ufundi Magar & driving
3. Mbinga FDCs – Songea..0768180147 Umeme Uashi Seremala Computer Ushonaji Ufundi Magari
4. Muhukuru FDCs -.. Songea..0653269091 Kilimo na Mifugo 3yrs
5. Tango FDCs – Mbulu. – Manyara…0754024494 Kilimo Mifugo Umeme wa majumbani na viwandani Ufundi Magari Ushonaji Useremala Uashi
6.Same FDC – Kilimanjaro..0753484021 Upishi Uashi Ufugaji Kilimo Umeme majumbani Ufundi Magari Umeme wa Magari Uchomeleaji Ushonaji
7. Newala – Mtwara..0784250653 Uashi Useremala Umeme majumbani Ufundi Magari Ushonaji
8. Mamtukuna – Rombo.- Kilimanjaro.0754052304 Useremala Uashi Ushonaji Umeme viwandani Electronic Kilimo na Mifugo Ufundi Magari
9. Kilwa FDCs – Lindi..0718479252 Umeme majumbani Kilimo na Mifugo Ufundi Magari Ushonaji Computer Uashi Kuongoza Watalii..Tour Guide Operators
10. Sengerema FDCs – Mwanza..0712835362 Umeme Uchomeaji Ufundi Magari Useremala Ushonaji Uashi Ualimu Chekechea
11. Malya FDCs..Kwimba – Mwanza..0768526778 Umeme Udereva Ufundi Magari Uashi Uchomeleaji Kilimo na Mifugo Ushonaji Ualimu Chekechea Ufundi bomba/Plumbing
12. Rubondo FDC – Biharamuro,Kagera..0757 12 25 77 Umeme majumbani Umeme wa Magari Ufundi Magari Uashi Ushonaji na ufumaji Uhazili na Computer
13. Gera FDC – Bukoba Vijijin, 0768566655 Umeme majumbani Uchomeaji Ushonaji
14. Nandembo FDC – Tunduru – Songea 0784 86 67 22 Umeme wa majumban Useremala Ufundi Magari Ushonaji Uashi
15. Katumba FDC..Tukuyu, Mbeya…0762 50 37 00 Tehama Umeme wa Majumbani Umeme wa Magari Uhazili Ualimu Chekechea( Day Care) Useremala Uashi na tofali Uchomeleaji .. welding Kilimo na Mifugo Graphic & Arts design
16. TARIME FDC – TARIME MARA 0766565462 Ushonaji Umeme wa majumbani Useremala Uashi Mifugo Funding magari
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.