- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Chemba Ndugu Dominick Ruhamuya (kulia) akimkabidhi fomu Bi Kunti Yusuph Majala ( kushoto) ambaye ni Mgombea wa Ubunge Jimbo la Chemba kupitia Chama cha Mapinduzi CCM
Makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi za Uchaguzi Jimbo la Chemba Leo tarehe 25, Agosti 2025.
Katika zoezi hilo Bi Kunti Majala aliambatana na Mumewe pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ngazi ya Wilaya wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya Alhaj Shaaban Kilalo.
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.