- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Na Shani Amanzi,
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Dkt.Semistatus Mashimba amezindua Kamati ya Lishe ambapo muongozo umetoka Ofisiya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Wadau wa WFPA na UNICEF ambapo imekuwa ikifanya mapitio ya hadidu za rejea za Kamati za Lishe na nyenzo za kufanyia usimamizi shirikishi kwa ngazi ya Halmashauri.
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.