- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
HALMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA
FURSA ZA UWEKEZAJI KATIKA ENEO LA
MIFUGO KATIKA KIJIJI CHA KELEMA MASHARIKI
1.0 Utangulizi
Eneo la Mifugo la Kelema Mashariki lilianzishwa mwaka 1954 na utawala wa kikoloni wa Mwingereza kwa ajili ya kuanzisha kituo cha kupumzisha Mifugo na kuchanja kabla ya kusafirishwa na kuuzwa kwenye masoko ya Mifugo. Baada ya Uhuru wa Tanganyika ,(Kelema Animal Holding Ground) ilichukuliwa na Wizara ya Mifugo chini ya Tanzania Livestock Marketing Project (TLMP) ambayo ilikuwa ikinunua mifugo iliyokuwa ikichanjwa kabla ya kuisafirishwa kwenda kiwanda cha Usindikaji nyama-Tanganyika Parkers, Dar Es Salaam.
Utambuzi wa mipaka pamoja na upimaji ulifanywa na Halmashauri ya Wilaya ya Chemba ambapo eneo hili lina ukubwa wa ekari 1414.602 sawa na hekta 565.8408.
2.0 Miundo mbinu iliyopo
Miundo mbinu wezeshi iliyoko ndani ya eneo la kituo cha Mifugo ni josho na Kisima cha Maji ambacho kilichimbwa wakati wa uanzishwaji wa Mradi huo isipokuwa hakina pampu. Miundo mbinu hiyo inahitaji ukarabati wa kawaida ili kuendelea kufanya kazi tarajiwa. Josho lililopo lina ujazo wa lita 13,000 za maji.
3.0 Fursa zilizopo
Baadhi ya fursa zilizopo kulingana na uwepo wa eneo hili ni kama ifuatavyo;
4.0 Shughuli za kiuchumi zinazoweza kufanyika katika eneo husika
5.0 Changamoto
Simon N. Langoi
Afisa Mifugo na Uvuvi (H/W)
CHEMBA
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.