- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
MREJESHO WA BAJETI YA HALAMASHAURI YA WILAYA YA CHEMBA 2017/2018
Mchanganuo wa Miradi ya Maendeleo
I) MAPATO YA NDANI
Sekta ya Fedha na Biashara
NA
|
JINA LA MRADI
|
KIASI CHA FEDHA KTK BAJETI
|
CHANZO CHA FEDHA
|
A
|
SEKTA YA BIASHARA
|
|
|
1
|
Kuwezesha kufanyika kwa baraza la Biashara la Wilaya ifikapo Juni 2018
|
10,998,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2.
|
Kujenga kituo cha basi katika eneo la Makao Makuu ya Wilaya ya Chemba June 2018
|
39,500,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kujenga soko la kisasa katika mji wa Chemba ifikapo Juni 2018
|
27,500,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
4
|
Kuwezesha upatikanaji wa Mashine 32 za ukusanyaji wa mapato (POS) ifikapo June 2018
|
30,624,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
108,123,000.00 |
|
|
|
|
|
B
|
IDARA YA UTAWALA
|
|
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa ofisi 4 za kata na vijiji vya Lahoda, Itolwa, Hamia, na Kimaha ifikapo Juni 2018
|
28,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
28,000,000.00 |
|
|
|
|
|
C
|
IDARA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI
|
|
|
1
|
Kuwezesha maandalizi ya Bajeti na Mpango wa Halmashauri ifikapo kwa kutumia mbinu shirikishi ya O&OD iliyoboreshwa Juni 2018
|
27,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kuwezesha kufanyika kwa vikao vya Lishe vya kila ya Robo ya Mwaka ifikapo Juni 2018
|
6,800,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kuandaa daftari la wakazi la Wilaya ifikapo Juni 2018
|
29,423,127.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
63,223,127.00 |
|
|
|
|
|
D
|
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
|
|
|
1
|
Kumalizia ujenzi wa maabara 6 shule za Sekondari za Makorongo,Mpendo na Paranga ifikapo Juni 2018
|
48,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kumalizia ujenzi wa maabara 2 shule ya Sekondari ya Gwandi ifikapo Juni 2018
|
15,700,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kumalizia ujenzi wa maabara 2 shule ya Sekondari ya Kelema Balai ifikapo Juni 2018
|
17,900,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
4
|
Kumalizia ujenzi wa maabara 2 shule ya Sekondari Itolwa ifikapo Juni 2018
|
19,400,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
5
|
Kumalizia ujenzi wa maabara 2 katika shule ya Sekondari Chandama ifikapo Juni 2018
|
17,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
6
|
Kuwezesha umaliziaji wa hosteli 1 shule ya Sekondari Mondo ifikapo Juni 2018
|
18,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
136,000,000.00 |
|
|
|
|
|
E
|
SEKTA YA ARDHI
|
|
|
1
|
Kuandaa mpango wa matumizi bora ya ardhi katika vijiji 5 vya Tumbakose, Rofati, Mrijo, Kinyamshindo na Ndoroboni ifikapo Juni 2018
|
43,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kufanya utafiti na kulipa fidia kwa watu waliojenga katika eneo la stendi ya mabasi na eneo la soko la Wilaya
|
63,756,370.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
106,756,370.00 |
|
|
|
|
|
F
|
SEKTA YA MAJI
|
|
|
1
|
Kufanya ukarabati wa miundombinu 2 ya maji katika vijiji vya Gwandi, Hawelo na Moto
|
80,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
80,000,000.00 |
|
|
|
|
|
G
|
SEKTA YA MALIASILI
|
|
|
1
|
Kuanzisha vitalu vya miche na kusambaza miche katika kata 26 ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
10,000,000.00 |
|
|
|
|
|
H
|
SEKTA YA NYUKI
|
|
|
1
|
Kuwezesha ujenzi na usambazaji wa mizinga ya Nyuki 100 katika vijiji 3 vya Mrijo, Farkwa na Jogolo ifikapo June 2018
|
10,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
10,000,000.00 |
|
|
|
|
|
I
|
SEKTA YA MAENDELEO YA JAMII
|
|
|
1
|
Kuendesha mafunzo, usimamizi na ufuatiliaji kwa vikundi vya ujasiriamali vya wanawake na vijana ifikapo Juni 2018
|
7,227,600.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kuwezesha mikopo Midogo Midogo kwa vikundi vya vijana vya ujasiriamali 35 ifikapo Juni 2018
|
44,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kuwezesha mikopo Midogo Midogo kwa vikundi vya wanawake vya ujasiriamali 35 ifikapo Juni 2018
|
44,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
95,227,600.00 |
|
|
|
|
|
J
|
SEKTA YA KILIMO
|
|
|
1
|
Kufanya upembuzi yakinifu katika vyanzo 2 vya maji kwa ajili ya kupanua miundombinu ya umwagiliaji wa matone Kidoka ifikapo June 2018
|
20,036,500.00 |
Mapato ya Ndani
|
1
|
Kuanzisha mashamba darasa ya mihogo katika vijiji 10 vya Mondo, Kidoka, Chemba, Soya, Paranga, Tumbakose, Kwamtoro, Makorongo, Babayu na Mrijo ifikapo Juni 2018
|
12,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kuanzisha mashamba darasa ya alizeti katika kata 20 ifikapo June 2018
|
6,414,153.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kuanzisha Mashamba darasa ya mahindi lishe na maharage katika Kata 26 ifikapo June 2018
|
2,500,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
4
|
Kuanzisha kilimo cha umwagiliaji wa matone katika kijiji cha Mondo ifikapo June 2018
|
10,000,000.00 |
Mapato ya ndani
|
5
|
Kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwa kutumia ‘green house’ katika kijiji kambi ya nyasa ifikapo June 2018
|
6,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
6
|
Kuwezesha ujenzi wa nyumba 1 ya Afisa kilimo katika ya Churuku ifikapo June 2018.
|
15,400,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
72,350,653.00 |
|
|
|
|
|
K
|
SEKTA YA MIFUGO
|
|
|
1
|
Kuwezesha upatikanaji wa chanjo mbalimbali za mifugo katika Kata 26 ifikapo June 2018
|
25,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kufanya ukarabati wa majosho 2 ya kuoshea mifugo katika Vijiji vya Kwamtoro na Makorongo ifikapo June 2018
|
14,00,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kuwezesha uendeshaji wa uoshaji mifugo katika majosho 8 ya Mwailanje, Kelema, Paranga, Gwandi, Rofati, Farkwa, Magambua na Kidoka ifikapo June 2018.
|
5,000,000.00 |
Mapato ya ndani
|
4
|
Kujenga banda la maonesho katika viwanja vya Nanenane ifikapo jjune 2018
|
27,925,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
5
|
Kuwezesha uboreshaji wa lishe katika kaya 80 kwa kusaidia ufufaji wa wanyama na utumiaji wa mazao yake katika vijiji 10 vya Changamka, Mwailanje, Soya, Mrijo, Chandama, Goima, Babayu, Farkwa, Sanzawa na Mrijo ifikapo June 2018
|
5,996,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
6
|
Kuanzisha kituo cha ufugaji wa kuku katika kijiji cha Chemba ifikapo June 2018
|
10,000,250.00 |
Mapato ya Ndani
|
7
|
Kuboresha ufugaji wa ng’ombe wa kienyeji kwa kununua madume 6 kwa ajili ya kuzungusha mbegu katika vijiji 3 vya Mondo, Churuku na Jangalo ifikapo June 2018
|
15,000,000.00 |
Mapato ya ndani
|
8
|
Kufanya ukarabati wa maabanda 2 ya ngozi katika vijiji 2 vya Rofati na Kwamtoro ifikapo June 2018
|
15,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
9
|
Kuboresha miundombinu katika minada 5 ya Magambua, Sanzawa, Paranga, Gwandi na Kidoka ifikapo June 2018
|
15,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
10
|
Kujenga machinjio 2 katika vijiji 2 vya Sanzawa na Mondo ifikapo June 2018
|
14,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
11
|
Kuboresha ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa kununua majogoo 8 katika vijiji vya Kinyamshindo, Mpendo, Ndoroboni, Tumbakose, Kambi ya nyasa, Tandala, Songolo na Mwaikisabe
|
4,834,000.00 |
Mapato ya ndani
|
12
|
Kuboresha upatikanaji wa lishe kwa kuanzisha ‘earthen pond’ 1 katika kijiji cha Paranga ififkapo June 2018
|
10,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
Jumla
|
161,755,250.00 |
|
|
|
|
|
L
|
SEKTA YA ELIMU MSINGI
|
|
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba 2 za waalimu Shule ya Msingi Lahoda ifikapo June 2018
|
12,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
2
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba 1 ya mwalimu shule ya Msingi Gonga ifikapo June 2018
|
7,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
3
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba 1 ya mwalimu shule ya Msingi Lalta ifikapo June 2018
|
7,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
4
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba 2 za waalimu Shule ya Msingi Magungu ifikapo June 2018
|
12,000,000.00 |
Mapato ya ndani
|
5
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba 2 za waalimu Shule ya Msingi Tamka ifikapo June 2018
|
12,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
6
|
Kuwezesha umaliziaji wa vyumba 2 vya madarasa Shule ya Msingi Khubunko ifikapo June 2018
|
11,000,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
7
|
Kuwezesha umaliziaji wa vyumba 4 vya madarasa Shule ya Msingi Kinkima ifikapo June 2018
|
14,000,000.00 |
Mapato ya ndani
|
8
|
Kuwezesha umaliziaji wa chumba 1 cha darasa Shule ya Msingi Hamia ifikapo June 2018
|
5,840,000.00 |
Mapato ya Ndani
|
|
|
80,840,000.00 |
|
|
JUMLA MAPATO YA NDANI
|
952,276,000.00 |
|
II) RUZUKU YA MIRADI
A.SEKTA YA UTAWALA
NA
|
JINA LA MRADI
|
KIASI CHA FEDHA KTK BAJETI
|
CHANZO CHA FEDHA
|
A
|
SEKTA YA FEDHA NA BIASHARA
|
|
|
1
|
Kujenga soko la kisasa katika mji wa Chemba ifikapo Juni 2018
|
60,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kujenga kituo cha basi katika eneo la Makao Makuu ya Wilaya ya Chemba Juni 2018
|
70,000,000.00 |
Ruzuku ya Mradi
|
|
Jumla
|
130,000,000.00 |
|
|
|
|
|
B
|
SEKTA YA UTAWALA
|
|
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa Ofisi 7 za vijiji na Kata za Mpendo, Lahoda, Songolo, Churuku, Tumbakose, Handa and Pongai ifikapo Juni 2018.
|
53,425,302.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
53,425,302.00 |
|
|
|
|
|
C
|
SEKTA YA MIPANGO TAKWIMU NA UFUATILIAJI
|
|
|
1
|
Kuwezesha uibuaji wa miradi ya maendeleo kwa kutumia mbinu mpya shirikishi “O&OD” iliyoboreshwa katika kata 26 ifikapo Juni 2018
|
45,057,800.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kuwezesha maandalizi ya Mpango na Bajeti ya mwaka wa fedha 2018/2019 ifikapo Juni 2018
|
27,042,328.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuwezesha ofisi ya mipango kuratibu, kusimamia na kufuatilia miradi ya maendeleo ifikapo Juni 2018
|
55,001,700.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kuwezesha ukusanyaji wa takwimu za kisekta na kuanzisha mfumo wa takwimu wa Wilaya ifikapo Juni 2018
|
24,530,600.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
5
|
Kuandaa mpango Mkakati (SP) wa Wilaya ifikapo Juni 2018
|
11,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
162,632,428.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
|
|
|
D
|
IDARA YA ELIMU MSINGI
|
|
|
.1
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba za walimu katika shule za msingi za Takwa, Muungano, kambi ya nyasa, Chambalo, Ombiri, Chukuruma na Gonga ifikapo Juni 2018
|
30,000,000 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kusaidia ujenzi wa matundu ya vyoo katika shule za msingi za Churuku, Chukuruma, Banguma, Kambi ya nyasa, Mlongia na Chandama ifikapo Juni 2018
|
5,800,000 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuwezesha umaliziaji wa vyumba vya madarasa katika shule za msingi za Kubi (1), Kisande (2), Bugenika (1), Donsee (1), Gonga (1), Chase (1), Mombose (1), Isusumya (1), Rofati (1), Kinkima (1) , Hamia (2) , Jangalo (4), Gwandi (3), Chemba (2), Itolwa (3), Chemka (2) na Mlongia (2) ifikapo Juni 2018
|
24,000,000 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba za walimu katika shule za msingi za Chemka, Mlongia, Isusumya, Churuku, Itolwa, Chukuruma na Chandama ifikapo Juni 2018
|
30,000,000 |
Ruzuku ya Miradi
|
5
|
Kuwezesha umaliziaji wa vyumba vya madarasa katika shule za msingi za Chambalo, Pongai na Kinkima ifikapo Juni 2018
|
18,370,000 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
108,170,000.00 |
|
E
|
IDARA YA ELIMU SEKONDARI
|
|
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba 4 za waalimu katika shule za sekondari Farkwa,Songolo,Chandama na Lalta ifikapo Juni 2018
|
39,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kuwezesha umaliziaji wa Majengo 2 ya Utawala katika shule za sekondari za Jangalo na Dalai ifikapo Juni 2018
|
21,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa shule ya Sekondari Itolwa ifikapo Juni 2018
|
18,400,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kuwezesha ujenzi wa matundu 5 ya vyoo shule Sekondari Chemba ifikapo Juni 2018
|
5,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
5
|
Ukamilishaji wa Maabara 1 ya Sayansi shule ya Sekondari Soya ifikapo Juni 2018
|
4,820,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
88,220,000.00 |
|
|
|
|
|
F
|
IDARA YA AFYA
|
|
|
|
VITUO VYA AFYA
|
|
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa wodi 2 katika kituo cha afya Makorongo ifikapo Juni 2018
|
15,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa wodi katika kituo cha afya Kelema Balai ifikapo Juni 2018
|
7,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuwezesha umaliziaji wa chumba cha upasuaji katika kituo cha afya Kwamtoro ifikapo Juni 2018
|
20,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kujenga varanda (Corrido) katika kituo cha afya Hamai ifikapo Juni 2018
|
12,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
5
|
Kufanya ukarabati wa nyumba za watumishi 6 katika kituo cha afya Kwamtoro ifikapo Juni 2018
|
18,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla Vituo vya Afya
|
72,000,000.00 |
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Hamia ifikapo Juni 2018
|
12,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kuwezisha umaliziaji wa ujenzi wa maabara ya zahanati ya Soya Ifikapo June 2018.
|
14,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Songambele ifikapo Juni 2018
|
14,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Handa ifikapo Juni 2018
|
14,159,660.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
5
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Makamaka ifikapo Juni 2018
|
15,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
6
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Wairo ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
7
|
Kufanya ukarabati wa nyumba ya Mganga zahanati ya kijiji cha Farkwa ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
8
|
Kumalizia ujenzi wa nyumba ya mganga katika zahanati ya kijiji cha Msaada ifikapo Juni 2018
|
15,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
9
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Gumbu ifikapo Juni 2018
|
14,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
10
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa nyumba za watumishi 2 (2 in 1) katika zahanati ya kijiji cha Mwailanje ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
11
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa nyumba ya Mganga katika zahanati ya Mrijo Juu ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
12
|
Kuwezesha umaliziaji wa nyumba ya mganga 1 (2 in 1) katika zahanati ya kijiji kijiji cha Magasa ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
13
|
Kuwezesha umaliziaji wa ujenzi wa zahanati katika kijiji cha Humekwa ifikapo Juni 2018
|
14,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla Zahanati
|
162,159,660.00 |
|
|
Jumla Afya
|
234,159,660.00 |
|
|
|
|
|
G
|
SEKTA YA BARABARA
|
|
|
1
|
Kufanya matengenezo ya kawaida barabara ya Mpendo-Kubi KM 8 ifikapo June 2018.
|
20,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
|
|
|
H
|
SEKTA YA MAJI
|
|
|
|
Kuchimba visima virefu katika vijiji vya Babayu, Ndoroboni na Ombiri ifikapo Juni 2018
|
60,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Kujenga lambo 1 katika kijiji cha Manantu ifikapo Juni 2018
|
24,730,010.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Kufanya ukarabati wa miundo mbinu 4 ya maji katika vijiji vya Birise, Donsee,Kubi na Porobanguma ifikapo Juni 2018
|
|
|
|
Kuwezesha ujenzi wa miundombinu ya maji katika mji wa Chemba ifikapo Juni 2018
|
30,0000,00.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
155,730,010.00 |
|
|
|
|
|
I
|
SEKTA YA KILIMO
|
|
|
1
|
Kuwezesha umaliziaji wa soko 1 katika kijiji cha Mrijo chini ifikapo Juni 2018
|
40,750,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kuwezesha ujenzi wa kituo cha maonesho ya nanenane Nzuguni – Dodoma ifikapo Juni 2018
|
25,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuwezesha upanuzi na ukarabati wa skimu 2 za umwagiliaji katika Vijiji cha Jogolo na Takwa ifikapo Juni 2018
|
14,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kuwezesha uanzishaji wa mashamba darasa ya viazi lishe katika vijiji 5 vya Igunga, Mondo, Pongai, Jenjeluse na Jinjo ifikapo Juni 2018
|
2,472,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
5
|
Kutoa elimu ya uhifadhi wa vyakula baada ya kuvuna katika Kata zote 26 ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
6
|
Kuboresha huduama za ugani vijijini kwa kuwezesha upatikanaji wa pikipiki 4 ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
102,222,000 |
|
|
|
|
|
J
|
SEKTA YA MIFUGO
|
|
|
1
|
Kujenga machinjio 1 katika miji wa Chemba ifikapo Juni 2018
|
19,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
2
|
Kuboresha maeneo ya malisho katika vijiji 4 vya Lahoda, Handa, Kisande na Pangalua ifikapo Juni 2018
|
8,308,500.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
3
|
Kuboresha huduma za ugani kwa kuwezesha upatikanaji wa pikipiki 4 ifikapo Juni 2018
|
10,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
4
|
Kuwezesha ujenzi wa kiwanda kidogo 1 cha maziwa katika kata ya Paranga ifikapo Juni 2018
|
60,000,000.00 |
Ruzuku ya Miradi
|
|
Jumla
|
97,308,500.00 |
|
|
|
|
|
K
|
SEKTA YA UTAWALA
|
|
|
1
|
Kuwezesha watumishi 20 kuhudhuria mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu ifikapo Juni 2018
|
15,000,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
2
|
Kutoa mafunzo ya siku 3 kwa wenyeviti wa vijiji 114 juu ya uongozi, utawala na usimamizi wa fedha ifikapo Juni 2018
|
16,748,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
3
|
Kuwezesha madereva 2 kuhudhuria kozi ya muda mfupi juu ya ufundi magari na usimamizi wa usafiri ifikapo Juni 2018
|
2,000,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
4
|
Kuwezesha semina ya siku 4 juu ya utatuzi wa migogoro kwa mabaraza ya Kata ifikapo Juni 2018
|
30,271,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
5
|
Kuwezesha upatikanaji wa samani za ofisi katika vijiji 15 (meza moja, viti 5 na kabati 1) ifikapo Juni 2018
|
5,000,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
6
|
Kuwezesha ofisi ya Afisa utumishi na ofisi ya manunuzi kwa kuwapatia laptop 2 na printa 1 ifikapo 2018
|
6,356,200.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
7
|
Kuboresha utoaji wa huduma kwa kwa kuwezesha upatikanaji wa pikipiki (yamaha) 4 kwa Watendaji 4 wa Kata ifikapo Juni 2018
|
12, 000,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
8
|
Kuwezesha upatikanaji wa viti vya plastiki 153 kwa ajili ya matumizi ya ukumbi wa vikao ifikapo Juni 2018
|
3,060,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
9
|
Kuendesha mafunzo ya siku 3 ya uongozi kwa madiwani wanawake wa wakuchaguliwa ifikapo Juni 2018
|
2,752,000.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
10
|
Kuwezesha mafunzo juu ya kuratibu, kusimamamia na kuandika ripoti za miradi ya Maendeleo kwa watendaji wa kata na vijiji ifikapo Juni 2018.
|
3,900,600.00 |
Ruzuku ya Kujenga Uwezo
|
11
|
Kutoa elimu kanuni na sheria za vikao kwa kamati za maendeleo za kata ifikap
Matangazo ya Kawaida
Habari Mpya
VideoKurasa za KaribuTovuti Muhimu
World visitors trackerIdadi ya Watembeleaji TovutiRamani ya EneoWasiliana NasiChemba District Council Sanduku la Posta: 830 CHEMBA Simu ya Mezani: 0262360175 Simu ya Mkononi: 0765980765 Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa. |