Posted on: June 17th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Chemba Ndugu SIMON CHACHA aongoza maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika. Sherehe hizo zilifanyika Wilayani Chemba kata ya Chemba Kitongoji cha ChambaloShule ya Msingi....
Posted on: June 12th, 2022
Mfumo huo umeanza katika Halmashauri 26 na Chemba ikiwa ni Wilaya mojawapo kuanza kuutumia mfumo huo ambao unatarajiwa kutumika nchi nzima.
Mafunzo yatatolewa kwa watendaji wote wanaotumia POS ili ...