- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mfumo huo umeanza katika Halmashauri 26 na Chemba ikiwa ni Wilaya mojawapo kuanza kuutumia mfumo huo ambao unatarajiwa kutumika nchi nzima.
Mafunzo yatatolewa kwa watendaji wote wanaotumia POS ili kuendana na mabadiliko ya kitekinolojia.
Mfumo huo utamuwezesha mtumiaji kujitolea Control number yeye mwenyewe na kuhakikisha kuwa bili anayotoa ni sahihi ili kupunguza loss zinazojitokeza. Mtumiaji atatakiwa kujilidhisha kuwa bili anayoitoa ni sahihi kulingana na fedha alizonazo na kama kuna loss imetokea anatakiwa kutoa taarifa kwa Afisa Mapato kabla ya kutoa control number
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.