• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Maji
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Afya
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Usafi na Mazingira
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mipango na Takwimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Tekinolojia Habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Law
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Zoezi la Chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi yazinduliwa Wilayani Chemba

Posted on: May 30th, 2018

Na Shani Amanzi,


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba Dkt.Semistatus Mashimba kwa niaba ya  Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Saimon Odunga amezindua rasmi zoezi la chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi Mashuleni.

Dkt.Semistatus Mashimba amesema Saratani ya kizazi inaweza kuzuilika kwa njia tofauti ila njia kubwa ni hii ya kuweza kupata chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi na chanjo hii inatolewa  kwa mabinti walio katika umri wa miaka 9 hadi 14 .

“Pia njia nyingine ni kufanya  uchunguzi wa kina ili kubaini dalili za awali na kupata matibabu stahiki na endapo itagundulika mapema inaweza kuzuilika ,hivyo ni vizuri  kwa wakina mama waliofikia umri wa miaka 30 hadi 50 kufika katika vituo vinavyotoa huduma ya upimaji wa saratani ili kubaini afya zao kwani inaonekana wanawake wengi wanaogundulika wanafika wakiwa wamechelewa”aliongeza kwa kusema hayo Dkt.Semistatus Mashimba.

Naye Mganga Mkuu wa Wilaya ya Chemba Dkt.Olden Ngasa ameishukuru Wizara ya Afya ,Maendeleo ya Jamii ,Jinsia ,Wazee na Watoto pamoja na Wadau mbalimbali kwa kuweza kuwaletea chanjo hizo ,ili kuweza kunusuru wanawake na watoto kutokana na vifo vinavyoweza kuzuilika kwa chanjo.

Dkt.Ngasa amesema “inakadiriwa kuwa duniani kote wastani wa wanawake takribani nusu milioni wanagundulika kuwa na saratani ya mlango wa kizazi kila mwaka,wengi kati ya waathirka wanatokea katika nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania na natumaini zoezi hili la chanjo litafanyika kikamilifu.”

Saratani ya mlango wa kizazi ni mabadiliko ya ukuaji wa seli usio wa kawaida katika mlango wa kizazi,saratani hii ya mlango wa kizazi ina athari kubwa kwa akina mama duniani kote na zoezi hilo la uzinduzi limefanyika katika Zahanati ya Kelema wilayani Chemba tarehe  25/5/2018

Matangazo ya Kawaida

  • Waraka wa Utumishi wa Umma June 02, 2017
  • Mtandao wa barabara Wilaya ya Chemba September 04, 2018
  • Ded Statement October 10, 2018
  • Statement of the Council Chairperson October 11, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili

    January 29, 2019
  • Mwenyekiti ccm mkoa

    January 25, 2019
  • Naibu Waziri wa Ardhi

    January 25, 2019
  • Dc atoa pongezi

    January 23, 2019
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • To get Salary Slip
  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.