- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Halmashauri ipo katika mchakato wa kuruhusu wananchi wenye matangazzo ya kibiashara kuweza kutangaza katika tovuti yake ili kuongeza wigo wa wateja. Matangazo hayo yatagharimu kiasi kidogo cha fedha ambacho kinajadiliwa kuwa na unafuu kwa wateja. Kumbuka unapotangaza katika tovuti inamaanisha unaitangazia Dunia nzima na matangazo ndio mwanzo wa mafanikio.
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.