- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
MKURUGENZI MTENDAJI (W) ANAWATANGAZIA WANANCHI WALIOOMBA AJIRA YA MUDA KUFIKA OFISI YA MKURUGENZI KWA AJILI YA USAILI.
AIDHA AMEWATAKA WALIOFANIKIWA KUWASILI KESHO TAREHE 28/03/2022 SAA MBILI KAMILI ASUBUHI.
WAOMBAJI WANAOMBWA KUJA NA SIMU JANZA ZAO ZIKIWA NA KIFURUSHI CHA INTANETI NA ZIWE NA CHAJI YA KUTOSHA.
BOFYA LINK HAPO CHINI KUONA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KWA INTERVIEW.
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.