- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
- Utawala
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Mwenyekiti Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) Jaji Mstaafu Ndg. Jacob Mwambegele ambae ndie Mgeni rasmi Akiongoza Kikao Cha Mwisho Cha Kuthibitisha Makubaliano ya Mchakato wa Ugawaji Wa Jimbo la Chemba.
Ndg. Jacob Mwambengenye pamoja na viongozi mbalimbali akiwapo Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi Ndg. Ramadhan Kailima, Kaimu Mkuu wa Mkoa Ndg. Joakim Mnyingo, Katibu Tawala Mkoa Ndg. Kaspar Kaspar Mmuya, Kamati kuu ya Usalama Mkoa pamoja na ya Wilaya waliongoza kikao hicho kwa washiriki mbalimbali wa jimbo la Chemba ili kuthibitisha kama hatua taratibu na miongozo ya ugawaji wa Jimbo la Chemba zimefuatwa.
Akiwasilisha wasilisho hilo la kugawa jimbo mkurugenzi wa Tume huru ya uchaguzi taifa Ndugu, Ramadhan Kailima, Amethinitisha kupokea mapendekezo ya wadau kutoka chemba ili kuligawa jimbo hilo litoe majimbo mawili ambayo ni Chemba Mashariki na Chemba Magharibi.
Mkurugenzi (INEC) Alielezea baadhi ya vigezo vinavyotumika katika mchakato wa ombi la ugawaji wa jimbo ambavyo ni pamoja na:
Sheria, Kanuni na taratibu katika Wilaya na Mkoa zimekamilika na sasa mchakato upo ngazi ya NEC.
Chemba District Council
Sanduku la Posta: 830 CHEMBA
Simu ya Mezani: 0262360175
Simu ya Mkononi: 0765980765
Barua pepe: ded@chembadc.go.tz
Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.