• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Divisheni
      • Elimu ya Awali na Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Takwimu
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Huduma za Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka, na Usafi wa Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Mikopo 10%
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
      • Fomu ya Kujiunga na Bima ya Afya
      • Ruhusa
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MADIWANI CHEMBA KUANZA KAZI RASMI BAADA YA KULA VIAPO

Posted on: December 5th, 2025

Tarehe 05/ 12/2025 kupitia mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika Oktoba, 2025 waliapishwa rasmi zoezi lililoenda sambamba na uchaguzi wa Mwenyekiti wa Halmashauri na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba.

Katika Uchaguzi huo Mhe Leba Raphael Paul Diwani wa Kata ya Ovada kupitia CCM amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kwa kupata kura 34 kati ya kura 36 zilizopigwa huku Mhe Halidi Ramadhani Iddi Diwani wa Kata ya Kimaha kupitia CCM amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kwa kupata kura 35 kati ya kura 36 zilizopigwa.

Zoezi hilo lilisimamiwa na Bi Sara Ngalingasi Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba ambapo amewataka Madiwani hao kuzingatia nidhamu, uwazi, uwajibikaji, na kushirikiana kwa karibu na Wananchi wanaowatumikia.

Kuapishwa kwa Wahe. Madiwani pamoja na kumchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na kuundwa Kamati za kudumu za Halmashauri ni hatua inayoashiria kuanza rasmi utekelezaji wa majukumu ya Baraza katika Halmashauri katika kuwatumikia Wananchi wa Chemba

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Chemba linaundwa na Madiwani 36, ambapo Madiwani 9 ni wa viti malum 26 ni wa Kata pamoja na Mbunge wa Jimbo la Chemba.



Matangazo ya Kawaida

  • MAPOKEZI YA FEDHA July 22, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 22, 2025
  • KILA LA KHERI DARASA LA SABA 2025 September 09, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWA WAOMBAJI WA KAZI YA UKUSANYAJI MAPATO October 03, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MADIWANI CHEMBA KUANZA KAZI RASMI BAADA YA KULA VIAPO

    December 05, 2025
  • "ATAKAYECHEZEA MAPATO YA HALMASHAURI, HUYO NI HALALI YANGU" MNYIKAH

    November 12, 2025
  • TIMU YA WATAALAMU WA HALMASHAURI YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO CHEMBA

    October 15, 2025
  • “DHAMIRA YA SERIKALI NI KUPUNGUZA AU KUMALIZA KABISA VIFO VINAVYOTOKANA NA UZAZI”

    October 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance
  • Mfumo wa Taarifa za Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Slot
  • Toto
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • KOI200
  • KOI200
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • NABITOTO
  • AERO88
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • slot gacor
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77