• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Divisheni
      • Elimu ya Awali na Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango na Uratibu
      • Miundombinu, Maendeleo ya Vijiji na Mijini
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Takwimu
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Huduma za Sheria
      • Fedha na Uhasibu
      • Mawasiliano Serikalini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Usimamizi wa Taka, na Usafi wa Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
    • Mikopo 10%
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • Kudhibiti Maambukizi ya Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
      • Fomu ya Kujiunga na Bima ya Afya
      • Ruhusa
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

"ATAKAYECHEZEA MAPATO YA HALMASHAURI, HUYO NI HALALI YANGU" MNYIKAH

Posted on: November 12th, 2025

“ATAKAYECHEZEA MAPATO YA HALMASHAURI, HUYO NI HALALI YANGU”


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri wa Wilaya ya Chemba Ndugu Hassan Mnyikah ametoa rai kuwa yeyote atakayecheza na mapato ya Halmashauri hawezi kumwachia kirahisi kwasababu uti wa mgongo wa Halmashauri ni ukusanyaji wa mapato.


Mnyikah ameyasema hayo Novemba 12, 2025 wakati wa kikao chake na Watendaji wote wa Kata na Vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri.


“Tukikosa mapato Halmashauri haitaweza kufanya ktu,hivyo yeyote atakayecheza na mapato huyo siwezi kumwambia kwa ligha rahisi” amesema Mnyikah


Aidha, Mkurugenzi  Mnyikah amewataka Watendaji Kata na Vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kufuata sharia, taratibu, kanuni na miongozo ya matumizi ya fedha za Serikali ili kuiweka Halamashauri katika hali ya usalama.


Mnyikah pia amesisitiza suala la usimamizi wa miradi ya maendeleo katika Vijiji na Kata zote za Chemba na kuwataka Watendaji hao kuhakikisha wanafuata taratibu zote muhimu zinazotakiwa ili kuhakikisha miradi hiyo inatekelezwa kwa wakati sahihi na ubora unaotakiwa.


Akizungumzia ukusanyaji na usimamizi wa mapato kwa kipindi cha robo ya kwanza Julai – Septemba 2025/26  Mweka hazina (W) James Dalasia amesema Halmashauri ilitakiwa kukusanya kwa 25% lakini  kutokana na juhudi za Watendaji hao Halmashauri imekusanya mapato kwa 30% na hivyo kuwa Halmashauri ya kwanza katika Mkoa wa Dodoma.


“Ninawapongeza sana Watendaji wote kwa namna mnavyopambana kuhakikisha Halmashauri inafikia malengo yake katika ukusanyaji wa mapato, nawaomba tuendelee na ushirikiano huo ili tuweze kufanya vizuri Zaidi kwa siku zijazo” amesema Mweka hazina (W)  James Dalasia.


Mapema akimkaribisha Mkurugenzi Mnyikah kuzungumza na Watendaji hao Mkuu wa Idara ya Utumishi  Ndugu Henry Mniachi amesema lengo la kikao hiko ni Mkurugenzi kufahamiana na Watendaji wote na pia kutoa maelekezo mahususi yatakayowawezesha Watendaji hao kutekeleza majukumu yao usahihi.


Hata hivyo, kufuatia kikao hiko Watendaji walimshukuru Mkurugenzi kwa kuitisha kikao hiko ambapo pia walipata fursa ya kuzungumzia changamoto mbalimbali zinazowakabili katika utekelezaji wa majukumu yao  ikiwa ni pamoja na madai ya stahiki zao za msingi.

Matangazo ya Kawaida

  • MAPOKEZI YA FEDHA July 22, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 22, 2025
  • KILA LA KHERI DARASA LA SABA 2025 September 09, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWA WAOMBAJI WA KAZI YA UKUSANYAJI MAPATO October 03, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • "ATAKAYECHEZEA MAPATO YA HALMASHAURI, HUYO NI HALALI YANGU" MNYIKAH

    November 12, 2025
  • TIMU YA WATAALAMU WA HALMASHAURI YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO CHEMBA

    October 15, 2025
  • “DHAMIRA YA SERIKALI NI KUPUNGUZA AU KUMALIZA KABISA VIFO VINAVYOTOKANA NA UZAZI”

    October 02, 2025
  • CRDB KANDA YA KATI YAKABIDHI MADAWATI 20 KWA SHULE YA MSINGI CHEMBA

    October 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance
  • Mfumo wa Taarifa za Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot
  • Situs Slot Gacor
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto Slot
  • SILVAWIN
  • YAMITOTO
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • PG SLOT
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor