• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Maji
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Afya
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Usafi na Mazingira
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mipango na Takwimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Tekinolojia Habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Law
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
      • Fomu ya Kujiunga na Bima ya Afya
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Mafunzo ya awali jeshi la akiba wilaya ya chemba yahitimishwa

Posted on: November 23rd, 2019


Na, Shani Amanzi.

Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mhe.Simon Odunga amewapongeza wazazi na walezi wa wilaya ya Chemba kwa kuonyesha ushirikiano wa kuwaruhusu watoto wao kushiriki katika Mafunzo ya Jeshi la Akiba ya Nchi yetu. “Jamii inapaswa itambue kuwa kazi ya Mgambo ni ya mtu yoyote  awe wa hali ya chini au juu anaweza kupata Mafunzo lengo ni kujenga utimamu wa mwili,uzalendo na kutumikia nchi yetu hasa kwenye ulinzi na usalama wa Taifa “aliongeza kwa kusema Mhe.Simon Odunga”.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya  Chemba Dkt.Semistatus H.Mashimba amefurahishwa kwa ushiriki wa vijana kwenye Mafunzo hayo, hii inaonyesha dhahiri wilaya ya Chemba inaenda mbele kimaendeleo na ameahidi wanafunzi waliohitimu mafunzo atafanya nao kazi kwa ushirikiano zaidi.

 Naye kiongozi wa Mafunzo hayo Meja wa Wilaya  ya Chemba Joseph Narsis amesema, walianza na wanafunzi 72 na waliohitimu ni 52 kati yao wanawake  9  na wanaume 43. Mafunzo hayo yalianza Julai mosi, 2019 na kumalizika  Novemba 23, 2019 changamoto  ilikuwa ni baadhi ya vijana kutokuona umuhimu wa mafunzo  hayo na kukatishana tamaa lakini hawa waliweza kukabiliana nazo na leo wamehitimu Mafunzo yao.


Matangazo ya Kawaida

  • Waraka wa Utumishi wa Umma June 02, 2017
  • Mtandao wa barabara Wilaya ya Chemba September 04, 2018
  • Ded Statement October 10, 2018
  • Statement of the Council Chairperson October 11, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Matokeo ya kidato cha Nne Mwaka 2020

    January 15, 2021
  • WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA NA TIN NAMBA

    January 14, 2021
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Kutoka Wilaya ya Chemba Kwenda Shule Mbalimbalie

    December 19, 2020
  • Wilaya ya Chemba yasaidiwa vifaa tiba

    March 06, 2020
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance
  • Mfumo wa Taarifa za Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.