• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Maji
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Afya
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Usafi na Mazingira
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mipango na Takwimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Tekinolojia Habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Law
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Dc avunja kamati ya ujenzi mrijo

Posted on: January 23rd, 2019

Na Shani Amanzi,

Mkuu wa  Wilaya  ya Chemba Mhe. Simon Odunga achukizwa na Wananchi na Wafanyakazi wa Serikali wasiokuwa wawajibikaji hasa pale wanapopewa majukumu na Serikali ikiwemo kuwekwa kwenye Kamati za shughuli za kimaendeleo katika jamii.

Mhe.Simon Odunga aliyazungumza hayo alipotembelea kata ya mrijo akiongozana na mkurugenzi            wa            Halmashauri, Katibu Tawala pamoja na wataalam wa Halmashauri walipokuwa wanaangalia hatua zilipo fikia katika utekelezaji wa kuanza kujenga Kituo cha Afya cha Mrijo, Tarehe 12/1/2019.

Mhe.Odunga amesema “nampongeza Rais wa Awamu ya  Tano Mhe.John Pombe Magufuli kwa kuweka kipaumbele katika Afya na kutaka kila kata kuwena Kituo cha Afya na sitakubali mwananchi au mtaalam yoyote akwamishe malengo hayo kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa”

Aidha Mhe.Odunga aliongeza kwa kusema mkumbuke wapo Wananchi ambao baadhi yao wapo macho na wanataka kushirikishwa katika kila jambo na inasikitisha sana Kamati hii yaUjenzi inafanya mambo bila kuwashirikisha Wananchi na ninaamuru Kamati hii ivunjwe nakutaka Mkurugenzi ahakikishe ana unda nyingine mara moja kuanzia leo kwani wengi wao wananchi hawaiamini Kamati hii ikiwemo na upande wa manunuzi.

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chemba Dkt.Semistatus.H.Mashimba ameomba ushirikiano kwa Wananchi katika kuhakikisha Ujenzi wa Kituo cha Afya- Mrijo kinakamilika na kuipongeza Serikali katika kuweka kipaumbele  katika Ujenzi waVituo vyaAfya.

Matangazo ya Kawaida

  • Waraka wa Utumishi wa Umma June 02, 2017
  • Mtandao wa barabara Wilaya ya Chemba September 04, 2018
  • Ded Statement October 10, 2018
  • Statement of the Council Chairperson October 11, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Tangazo la kuitwa kwenye usaili

    January 29, 2019
  • Mwenyekiti ccm mkoa

    January 25, 2019
  • Naibu Waziri wa Ardhi

    January 25, 2019
  • Dc atoa pongezi

    January 23, 2019
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • To get Salary Slip
  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.