• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe |
    • Blogu |
    • Malalamiko |
Chemba District Council
Chemba District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Chemba DC Profile
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
    • Hali Ya Uwekezaji
    • Kata, Vijiji na Vitongoji
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Msingi
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Elimu ya Sekondari
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Maji
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Afya
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Usafi na Mazingira
        • Shughuli
        • Machapisho
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mipango na Takwimu
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Tekinolojia Habari Mawasiliano na Mahusiano
      • Ugavi na Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Law
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
    • Idhinishwa
  • Machapisho
    • Sheria
      • Permanent act
      • Ada na Ushuru
    • Ripoti
    • Fomu
      • Imprest
      • Masurufu
      • Hati miliki ya kiwanja
      • Likizo
      • Maombi ya leseni ya biashara
      • Fomu ya Kujiunga na Bima ya Afya
    • Miongozo
      • Waraka wa mavazi kwa Watumishi wa Umma
      • Watumishi nje ya kituo
      • Kanuni za maadili za Madiwani
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari

Land and Natural Resource

Ardhi na Maliasili

Idara ya Ardhi na Maliasili  hushughulikia masuala mbalimbali kuhusu uendelezaji wa Makazi, Ardhi na Maliasili. Idara hii inatekeleza na kusimamia Program mbalimbali zinazohusiana na maendeleo ya makazi ikiwemo Program ya kuboresha miundombinu ya jamii katika maeneo yasiyopangwa, Program ya Mtandao wa Miji Tanzania (TACINE).

 Muundo wa Idara

Idara ya Ardhi na Maliasili  inazofanya kazi chini ya Mkurugenzi wa Halmashauri. Idara imegawanyika katika vitengo saba ambavyo ni:  Ardhi utawala, Mipangomiji na Vijiji, Uthamini, Upimaji na Ramani, Misitu, Wanyamapori na Utalii.

Majukumu ya Idara

Kuandaana kusimamia utekelezaji mipango ya uendelezaji wa ardhi katika Halmashauri kwa kuzingatia Mpango Kabambe, Sheria ya Mipangomiji Sura Na. 8 ya mwaka 2007, sheria ya Ardhi na 4 ya mwaka 1999 nakanuzi zake pamoja na mingozo mingine inayotolewa na Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

  1. Upimajiwa viwanja vya matumizi mbalimbali
  2. Uthamini wa majengo na mazao kwa ajili ya fidia, kodi ya majengo, mauzo, rehani na  huduma nyinginezo.
  3. Kuchunguza ramani za ujenzi zinazowasilishwa kwa ajili ya maombi ya vibali vya ujenzi.
  4. Kusimamia utunzaji, kuhifadhi, kuimarisha na kuendeleza rasilimali ya maliasili.
  5. Kuandaa miliki za viwanja mbalimbali
  6. Kusimamia utekelezaji wa program zifuatazo:-

i. Mradi wa kuboresha miundo mbinu kwenye maeneo yasipangwa

ii. Usimamiaji na utunzaji wa takwimu za kijiografia (GIS)

iii. Kutambua na kutoa haki miliki katika maeneo yasiyopimwa (Leseni za Makazi)

iv. Kutekeleza Program ya Mtandao wa Miji Tanzania (TACINE)

Matangazo ya Kawaida

  • Waraka wa Utumishi wa Umma June 02, 2017
  • Mtandao wa barabara Wilaya ya Chemba September 04, 2018
  • Ded Statement October 10, 2018
  • Statement of the Council Chairperson October 11, 2018
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Matokeo ya kidato cha Nne Mwaka 2020

    January 15, 2021
  • WATUMISHI WA UMMA WATAKIWA KUWA NA TIN NAMBA

    January 14, 2021
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Kutoka Wilaya ya Chemba Kwenda Shule Mbalimbalie

    December 19, 2020
  • Wilaya ya Chemba yasaidiwa vifaa tiba

    March 06, 2020
  • Angalia Zote

Video

Soya auction
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • Forms
  • Frequently asked questions

Tovuti Muhimu

  • TCU
  • Tamisemi
  • National Examination Council
  • Government Website
  • Ministry of Finance
  • Mfumo wa Taarifa za Elimu

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watembeleaji Tovuti

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Chemba District Council

    Sanduku la Posta: 830 CHEMBA

    Simu ya Mezani: 0262360175

    Simu ya Mkononi: 0765980765

    Barua pepe: ded@chembadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Haki miliki ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Chemba . Haki zote zimehifadhiwa.